OmniBill inapokea malipo, inamwasha mteja kwenye router yako, na kumzima muda ukiisha. Kila kitu kinafanyika kiotomatiki, saa 24, bila wewe kuhangaika na SMS moja moja.
Imeundwa kwa mazingira ya ISP wa Tanzania, kuanzia malipo ya Lipa Namba hadi usimamizi wa wafanyakazi.
Hakuna gharama za gateway. Malipo yanathibitishwa yenyewe na mteja anawashwa papo hapo.
Unganisha router yako kwa hatua chache, kisha simamia wateja wa Hotspot na PPPoE kutoka sehemu moja.
Tengeneza vocha nyingi kwa mara moja, ziprint na uziuze kwa wateja wako.
Weka speed, burst na muda wowote, kuanzia dakika hadi miezi, pamoja na vifurushi vya muda maalum.
Ongeza mawakala na mafundi, kila mmoja akiona kile anachostahili tu.
Mauzo ya kila siku, mapato na wateja wanaokaribia kuisha, bila kuhesabu kwa mkono.